Wekeni majina ya watu waliouawa acheni propaganda. Mnataka rasilimali zetu wazichukue Marekani siyo endeleeni kuwapigia debe hao marekani maana nyinyi siyo raia wa Tanzania
Kuunda wizara ya usalama wa ataifa iambatane na mfumo wa chama kimoja kama ilivyo china na Rusia hapo itafanyakazi kwa ufanisi. Unapoongelea demokrasia ni vema ukalingamisha hilo jambo na nchi za kidemokrasia kama ilivyo marekani na baadhi ya nchi za ulaya ili hili jambo lilete mantiki kamili
Hata Raia wa Marekani hawana akili kama matope . Hata inapotokea Rais aliyeingia madarakani hafanyi matarajio ya wengi, Raia wa Marekani huwezi kuwasikia kuiombea nchi yao kutawalaiwa na wachina ama Warashia . Na hawawezi kuisifia nchi nyingine kisa rais wao hawampendi ila uje Tanzania wananchi...
Watumishi wa Mungu yupi hawa wanaotukuna kwenye mabahu takatifu ndo uwaite watumishi wa Mungu aliyehai ? Kwa hawa watumishi wanaotukana tena madhabahuni hawafai kuitwa watumishi wa Mungu tena laani za dunia hii ziwe juu yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.