Recent content by DumeLasimba

  1. DumeLasimba

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ndio yeye mkuu, mrithi wa Mtatiro kwenye hiyo nafasi.
  2. DumeLasimba

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ingawa thread hii ni kwa wanawake wa chadema, ila naomba kwa heshima na taadhima niibe nafasi hii kumpongeza pia mwana mama jasiri wa CUF, mhe Magdalena Sakaya kwa kuangusha mbuyu (Prof. Kapuya) huko kalimaua. Ni matumaini yangu atalipa imani ya wana Kalimaua kwa kufanya kazi kwa bidii na...
  3. DumeLasimba

    JamiiForums Tanzania Nimewasili

    Salamu mabibi na mabwana, na walio katikati ya hao wote nawasalimu. Baada ya kufuatilia mijadala mbalimbali humu jamiiforums kwa miaka mingi sasa Dume Lasimba nimeingia rasmi kuleta changamoto za kifikra. Tuombe: "Baba bariki ujio wa Dume Lasimba ndani ya jamiiforums ukawe ni wenye kuleta...
Back
Top Bottom