Recent content by dume

  1. dume

    KC GLOBAL LINKS LTD

    KC GLOBAL LINKS LTD YOUR NUMBER ONE SOLUTION FOR SHIPPING AND ALL PURCHASES FROM THE UK WE SHIP ALL TYPES OF CARGO FROM UK TO AFRICA AT UNBEATABLE RATES 40’ CONTAINER TO DAR/MOMBASA FROM £1,450 20’ CONTAINER TO DAR MOMBASA FROM £950 ANY CAR TO MOMBASA £750 (SIZE DOESN’T MATTER) ANY VAN TO...
  2. dume

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Yuko siku nyingi sana, okea enzi za jambo forum.....
  3. dume

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Na mimi Je?
  4. dume

    Masaburi anaanzisha fujo zingine Manzese kwa kukodi vijana kufungua kituo hewa

    Mbona mnahangaika kama mnataka kujinyea?
  5. dume

    CHADEMA kumburuza Dk. Magufuli kortini

    Tatizo lenu ni wapumbavu Haya soma hii link hapa chini uone waanzilishi wa M4C https://www.google.co.uk/search?q=m4c&espv=2&biw=1920&bih=979&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ved=0CAgQ_AUoA2oVChMIqYW0z-iAyAIVwjIaCh0gdAee#imgrc=_
  6. dume

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Ana jeuri ya kuhutubia kote huko? Huyu mtu asijetufia jukwaani huyu
  7. dume

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    Huyu mtu inabidi afikishwe mbele ya sheria
  8. dume

    Mkutano wa Mgombea ubunge Iringa Mjini, Chiku Abwao

    Anahutubia magari
  9. dume

    Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Nashindwa kuelewa, yaani mtu katuibia na kusababisha gharama ya umeme kua juu mpaka tunashindwa kulipia eti leo anataka kua Rais na sisi tunamshangilia tu? Tunahitaji matibabu, huyu mtu katuroga sio bure
  10. dume

    Ombi kwa Dr. Slaa; Usiondoke bila kutuaga, tafadhali zunguka nchi nzima uwaage wafuasi wako

    Sisi wafuasi wa Dr Slaa hatutalala mpaka kieleweke
  11. dume

    Ombi kwa Dr. Slaa; Usiondoke bila kutuaga, tafadhali zunguka nchi nzima uwaage wafuasi wako

    Mtu kamuomba Dr Slaa azunguke nchi nzima kuwaaga wafuasi wake, wewe tabu yako nini?
  12. dume

    TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

    uLITAKA WARUDIE HOTUBA YA BABA YAKO?
  13. dume

    Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

    Maaskofu wako kanisa Katoliki tu, wengine ni wachungaji tu
Back
Top Bottom