Recent content by Dullyvanny

  1. D

    Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

    US yakiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuua mamilioni ya Wamarekani Maafisa wa ngazi za juu wa idara za usalama na itelinjensia za Washington wamekiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuwaangamiza mamilioni ya Wamarekani iwapo itafanya shambulizi moja la silaha za nyuklia dhidi ya...
  2. D

    Nuclear bomb

    Urusi lazima ajihami na sio kuungilia, hii ni kwa sababu ya ulinzi na mustakabali wa eneo lake lililopakana na Korea kaskazini
  3. D

    Nuclear bomb

    Likipita sehemu ya kwake atalitungua tu
  4. D

    Nuclear bomb

    #UpdatesKimataifa Urusi tayari imesogea kwenye Mpaka wake na Korea kaskazini na kufunga silaha Nzito za kutungua Ndege Pamoja na kudaka Makombora Ya Marekani Dhidi ya Korea kaskazini. Urusi imekiri kuwepo kwa uchokozi wa Marekani katika Rasi ya Korea.
  5. D

    Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Anatafuta kiki Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom