Recent content by dullynho

  1. dullynho

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Inategemea pia na shipping company kama singapore post au aliexpress standard shipping ni kabla hapo umefika
  2. dullynho

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Bado kabisa sahau hasa hapo upo nchi nyingine ingeandikwa destination tayari
  3. dullynho

    Rasmi! GB WhatsApp imesitisha huduma zake kwa watumiaji wake.

    Inawezekana yote moyo wa mtu kichaka hajaweka wazi sababu maalumu
  4. dullynho

    Rasmi! GB WhatsApp imesitisha huduma zake kwa watumiaji wake.

    Naam kama mambo ya wabunge wanaunga juhudi mkono mzee baba
  5. dullynho

    Rasmi! GB WhatsApp imesitisha huduma zake kwa watumiaji wake.

    Atnfas_hoak ameshakula mpunga mzee baba wa mark Zuckerberg na ajira atapewa atoke mtu mwengine aendeleze Jahazi kuna albasha na fouds bado hawajaitwa makao makuu
  6. dullynho

    Msaada kwa mwenye keys za program iitwayo NITRO PRO

    Sidhani Kama unaweza Kuweka digital signature
  7. dullynho

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Be specific ukitaja jina itakuaje? Au huvijui na wewe?
  8. dullynho

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wanalipa walizotoa siri-kalini zile 6
  9. dullynho

    Uzoefu wangu kuitwa na Kamati ya Bunge: Japo ameitwa kwa dharau, kwa kutishiwa pingu, lakini kiukweli CAG ameheshimiwa sana!

    Hivi mbona hatujaskia tena kuhusu CAG feedback yoyote ile au hata adhabu? au unapewa kimya kimya?
Back
Top Bottom