Recent content by dullyhami

  1. dullyhami

    Jussa awavua nguo Sitta na CCM ndani ya DMV-USA

    Vipi ndugu, mbona umeshika Uhindiii mhindi....?? Kwani Uhindi wa Jussa unakushulisha kitu gani? au kuja jambo wahindi wamekutenda...? waogopa kulisema...?? Huwezi kuhubiri siasa ya ubaguzi namna hiyo, watu hipambana kwa nguvu ya hoja sio PUMBAZ...
  2. dullyhami

    Kutoka masikani ya kisonge zanzibar

    Kisonge Zanzibar, hawaachi mambo yao....
  3. dullyhami

    Mfahamu mgombea mwenza wa Edward Ngoyai Lowassa, 2015

    Kwanza huu Uzi hauna sifa ya kuitwa #Waraka , ni maneno tu ya kuokota-okota mitaani, Amani Karume alikuwa Raisi wangu Zanzibar 2005-2010 mara tu baada ya kustaafu Uraisi mpaka kwenye Chama na kwasasa hana tena interest ya politics zenu, yupo na business zake kwa maisha yake, na hilo...
  4. dullyhami

    Wako wapi vijana jasiri kama Hussein Bashe ndani ya CCM? Lowassa sasa fanya hivi...

    Mkuu umefilisika kabissa....!! HUSSEIN BASHE ni mwanaume ndani ya vijana wa CCM, amesema hadharani woote tumemsikia wala sio mitandaonii, URAIA: hapo ndio umejivuruga kabissa, kwamba etii Bashe arudi kwao Somalia, hata kama iwe hivyo, muda woote huo hamjamuona?? ameanza siasa hadi amekubalika...
  5. dullyhami

    Waziri Samuel Sitta: Watanzania walioko Oman wanataka kupindua Serikali ya Tanzania

    Huyu jamaa ni Mshenzi sana, na kila leo fitina na chuki zake dhidi ya Wazanzibar zinazidi kudhihirisha.... Kama wao kweli wanaogopa Wazanzibar wenye asili ya Oman, mbona wao kila leo huenda uko huko kila kukicha, na missada ya Qabuss hawaiyachi, sasa hapa ndio tu naona ile double standard ya...
  6. dullyhami

    VIDEO: Majigambo ya Vijana wa Tanga (magaidi?) baada ya kuwapora silaha Polisi

    propaganda za makufarii wa Tanzania sasaa zimefika mbaliii, hadi kuanza kutishiana amani ya nchii hali yakuwa wakijuaa fika kwamba nchii hii sio ya Waislamu pekeee, wao na familia zao pia wamoooo, hivyo hizo fitna zao nao pia zitawapata... nadhanii hiii ni kwa sababu ya zile hamassa za Ujio wa...
  7. dullyhami

    Kwa hili tumuunge mkono Zitto Kabwe, Seneta Sonko nakukaribisha Tanzania

    Matatizo ya Wakenya ni yakwao na wenyewe ndio watao yatatua kwa umoja wao uliyojaa imani mioyoni mwao..... lakini nakushangaa kutaja matatizo ya Wakenya kama kwamba huko kwenu Tanzania kupo shwariii....hakuna matatizo yoyote, ya kijamii hadi kisiasa... huo ni upofu!! Mimi Binafsi na naamini...
  8. dullyhami

    Kwa hili tumuunge mkono Zitto Kabwe, Seneta Sonko nakukaribisha Tanzania

    Yeah I will inshallah.... kama unaamini Usilamu ni Ugaidii kwani huko kwenye hiyo lovely country yako Waisilamu hawapo....??? huko ni kuishiwa kwa hojaaa unaletaa dhana za udiniii, sisi Zanzibar hatujaliii kipigo chenuu ndio maana hadi leo hakijasaidi kituu misimamo iko pale palee.... Ni vyema...
  9. dullyhami

    Kwa hili tumuunge mkono Zitto Kabwe, Seneta Sonko nakukaribisha Tanzania

    Emmanuel R. Ntobi huu ni ujinga na mawaunga mkono wakenya kwa asilimia 100% , zitto ajifanya yeye eti ni pan africanist kumbe hana lolotee uafricanist wake huonekana pale tu linapoluja swala la zanzibar na kuiangamiza kwake...... Ila issue ndogo tu ya wakenya ameshindwa uafricanism wake...
  10. dullyhami

    Zanzibar nchi ya kwanza Afrika, Marekani kufungua Ubalozi wake mwaka 1837

    Namaanisha kwamba kurudi kwa Sultan Zanzibar itakuwa rahisi kwa Watanganyika kuja kuelezea zile shida zao wanazopeleka Omani....
  11. dullyhami

    Zanzibar nchi ya kwanza Afrika, Marekani kufungua Ubalozi wake mwaka 1837

    Sasa kwani wew ulitaka kirudi kwa nani...?? Zanzibar ikirudi kwa Warabu kwani inakuathiri niniii....si itakuwa ni rahisi kuja Kuomba misaada Zanzibar badala ya kuandaa vijisafari mpaka Oman Dubai hadi Qatar, kuwaombaa kisha mukirudi makwenu etii ohhh Warabu sio Watu hahahah shame on you...
  12. dullyhami

    Zanzibar nchi ya kwanza Afrika, Marekani kufungua Ubalozi wake mwaka 1837

    Ulitaka zawadi za Zanzibar zitokeee Tanganyika..?? kwa wakati ule VINYAGO kwa Wazungu vingewatisha....
  13. dullyhami

    Zanzibar nchi ya kwanza Afrika, Marekani kufungua Ubalozi wake mwaka 1837

    Ni kweli balozi wa Sultani, lakini kaiwakioisha Zanzibar mali ya Wazanzibar hadi leo wanayo wenyewe licha ya njama nyingi za kutaka kuwapora kupitia Muungano hewa.... Na ukisema Balozi wa Sultani hujakosea kabisa maana kwa wakati huo ndio Mtawala wa Zanzibar, kama vile Tanganyika ilivyotawaliwa...
  14. dullyhami

    Zanzibar nchi ya kwanza Afrika, Marekani kufungua Ubalozi wake mwaka 1837

    Naam, NDIO kwani WaOmani hawajatawala Zanzibar...?? kwanini wasijisifieee ..?? au ndio nawe unataka waletee majigambo ya uongo kweli kama kwenu huko Tanganyika munavyofanya..... maana Juzi tumemskia Mkuu wenu wa nchii asema etii Wajerumanii wamefanya meeeengii mema ya maendeleo, duhhhhh...
Back
Top Bottom