Recent content by Dullahmax

  1. D

    Rais John Pombe Magufuli tunaomba msamaha

    Sasa hao wenyekiti wa halmashali na mbunge wenu anakua wapi had I msaada uende sivyo kama ulivyo kusudiwa Wakati umese huko kwenu ndio mnaoiogoza serikali, Sijui sasa kwann kama rawama zako zinamlenga Rais Magufuli badala ya kuwaraumu viongozi wako kwa sababu hakuna kitu kinaweza kufanyika bila...
  2. D

    ACT Wazalendo: Kauli ya Rais Magufuli ni vita dhidi ya demokrasia na uhai wa vyama vingi nchini

    Nasikitika sana kusikia kiongozi mkubwa kama Zitto kua na mtazamo kama huo juu ya hutuba fupi ya JPM, kwani JPM hakumainisha hivyo maana yake alimainisha kila chama cha siasa kuweke juhudi kubwa kutimize kila kilicha ahidi kwa wananchi sio kulumbana kwa vitu ambavyo kimsingi havina umuhimu...
Back
Top Bottom