Recent content by Ducinaltum

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Hii ik Hii ikoje chief?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Bundle ni gharama zaidi, japo inategemea unalipia kifurushi cha bei gani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Bado mkuu, tatizo lipo palepale
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Bado inasumbua aisee
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Hii ninayo, but haina Cast to Tv
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Barikiwa sana mkuu, ngoja niingie now
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Sawa mkuu, ngoja nimchek
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Hello jf experts, salama humu? Samahani wakuu, naomba msaada wa Apps ambazo naweza kuchek game za England kwa ku Cast na Tv. Tv yangu ni Hisence..
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Apps za kuangalia game za England kwa ku-cast na TV

    Hello jf experts, salama? msaada wenu tafadhali. Naomba kupata 'live epl game apps' ambazo naweza zina cast to tv. Tv nnayotumia ni Hisence, smart
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hapa Tanzania matajiri au watu waliofanikiwa kimaisha hupenda kutuongopea kuwa wao wanafanya kazi kwa bidii?

    Mim nafanya kaz kwa bidii sana tu, ila ndo naishia maisha ya kawaida tu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hapa Tanzania matajiri au watu waliofanikiwa kimaisha hupenda kutuongopea kuwa wao wanafanya kazi kwa bidii?

    Juz kuna motivation speaker mmoja huwa anajinasibu anauza mchicha Ulaya, lakin amekamatwa na drugs. Ko hivo vitu wanavyotueleza ni urongo tu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini hapa Tanzania matajiri au watu waliofanikiwa kimaisha hupenda kutuongopea kuwa wao wanafanya kazi kwa bidii?

    Hahah, bas kuna utofauti wa matajiri wa kwetu na wengine. Kiukweli mtu hawezi kutoa siri zake za ndani za mafanikio yake, instead atasema vitu cheap cheap tu. Hawawezi kutuambia siri halisi za mafanikio.
Back
Top Bottom