Hakika ajenda ni yake Mwenzake Msiri na Mshirika wake hayati JPM [R.I.P] waliekuwa karibu na walitangaza ilani ya CCM pamoja na kuanza utekelezaji wake wakiwa pamoja.
Naongea kwa sauti kubwa nangwe obhizaga nomolomo yani leo umeona kauli ya makonda ina ukakasi ila wahusika wakisema dikteta uchwara kwako safi na sehemu ya demokrasia, kama demokrasia kwanini makonda nae isiwe kipimo ulichowapimia wao wakati wakitamka hayo
Utetezi wa kishamba huu,
Hoja zingine zote hazina mashiko cha msingi sana ulichogusia ni deni kuwa la UONEVU {IMMORAL} hivyo alistahiki kulipwa NA URAIA ASIPEWE. Angekuwa anaipenda Tanzania angetafuta njia za Kidplomasia zaidi ndani ya Taifa kwa amani hadi apate kile ambacho ni haki kama ipo,
Ni mbaya sana kwa Mwanasiasa kuvaa kofia ya Dini, mtu wa Mungu umpa Moyo na mawazo mema Mwanasiasa ili AONGOKE KUTENDA MEMA KWA WAJA WA MUNGU.Sasa mtu mzima anapotosha maneno ya Kadinali Mwenye Heshima zake kwa kuvisha maneno yasiyo na tija ili wafuasi wake washabikie uozo na kuwatukana...
Kosa la Askofu Pengo liko wapi ni kusema Makonda ni moja ya Wasaidizi bora wa Rais au ni kosa la Kadinali kusema ''Tunakuombea na wewe na Vijana wa aina Yako'' au Kosa lake ni lipi au ni kusema ''Mkiwepo wa aina yako wengi.mimi nisingekuwa na shaka, kwamba tutakuwa na watu wakuendeleza kazi...
A Picture is Worth a Thousand Words,Ili Pozi la Mawaziri hawa limeniacha natafakari sana, yani kila mmoja alijiandaa kwa moment hiyo with full respect to make history.Kuna something very unique kwenye Picture hii.Mh Rais ana wafuasi wengi wanatamani siku moja wawe nyuma ya viatu vyake katika...
Ishara ya wajibu wa kuwa Mpenzi wa kwenu, home sweety home na kuhakikisha daima Nchi yako is everything,Ukishamilki spirit ile UTOIBIKA UKo DUNIANI TRUST IT.Mother Land ita Kuprotect na Negative Spirit.Acha kuwa na Maneno Mabaya yoyote juu ya ardhi ya Mababa na mababu zako nayo itasimama na...
Kuhusu Ben una miaka mingapi humu JF ebu kafukue Mashimo ya mijadala humu miaka ya nyuma mtafute huyo Ben Kajifunze jambo kuhusu hoja zake kabla amja jichotea LAANA ambazo mmejiundia wenyewe.
Pascal Mayalla,
Hao wa tatu ulio waelezea wanao kosoa kwa constructive criticism hao ndio wajenzi wa Nchi, na ndio msaada wa maana kwa Rais. Sikuona bora lolote ulilosema ukijua wazi wasifiaji wakisifia hawana baya lolote ata kama wakisifia wakakesha haina ubaya ili mradi MSIFIWA ana ufahamu...
P
P bandiko lakoi hili ni kwa tabia zako kama mwandishi sio,lakini kwa tabia zako kama Mwanasheria ndio na upofu mkubwa wa tabia za Wanasheria mlio wengi wa Kibongo kupenda mambo ya Kiharifu na si sutaarabu wa kutafuta majwabiu ya matatizo ya Umma,Kitabia ya tabia ya Wanasheria wa Kibogo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.