Ila ni uhakika kbsa ukijiunga icho “kifahari 50k” ni unlimited mana nliongea na mtoa huduama wa halo akanambia icho ni izo 24GB utaztumia mda wwte mpk siishe ndo unlimited yko zkiisha izo ndo kifrush kimeisha, akankatsha tamaa kbsa 24GB kwa 50k siwez iy biashara
Brother naomb msaada kdg nataka kujiunga ich kifrush cha unlimited ila naona wameniandkia 24,6GB awajaandka unlimited kweny furaha, je ndo ichoicho unlimited alafu pia nmeskia kuna limit ya GB kma 24 iv zkiisha inakata
Ok jamani kwa anaejua anielekeze vzr nna line ya Halotel m2m natak nijiunge unlimited ile ya 50k ila kila nikienda kweny icho kifurushi cha furaha nakuta wameandika 50k-24,6GB apo kuna unlimited kwel au ndo izo GB 24 unapewa. Msaada please kwa mweny uelewa nnauhitaj
Ssd yangu zaman nlikuw nkiitoa nkiludsha fresh natumia pc kma ck 5 baad ya apo inanletea notifcation”Harddisc is not installed” ila kwa ile app ya crystal ya kuanglia health ya ssd inaonysh iko 100%, boss shd ni pc au iyo ssd ishkufag
Bro, mm nina pc ya Dell xps 13 9360, frequency inanleteaga blue screen inanambia ina diagnos problem then inanambia” Hard disc is not installed” afa sometimez nkiwash pc haiwak inalera ilo tangz then bdae inawak ila juz ndo majabu nikiwsha haiwak kbsa ata nkifngua nkitoa ssd nikudsh haiwak, shid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.