Recent content by Drkito

  1. Drkito

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere linajaa likiambatana na faida kibao

    WAP JPM
  2. Drkito

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakapostaafu Urais 2030 atakumbukwa sana na Watanzania kwa mema aliyolitendea Taifa letu

    Mtoto mdogo sana ww kwenye kufikili unajiabisha sana
  3. Drkito

    JamiiForums Tanzania Haya hapa ni maoni ya Sheikh Ponda Issa Ponda kuhusu ripoti ya CAG

    Huoni aibu kusifia ujinga, kwani wew huoni uozo wa ripiti ya CAG.huyo mchungaji katoa mawazo halisia kabisa kuwa viongozi ndo tatizo we unakuja na upumbavu wako kusifu sifu umekosa kazi za kufanya unakuwa kama shoga hivi
  4. Drkito

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakapostaafu Urais 2030 atakumbukwa sana na Watanzania kwa mema aliyolitendea Taifa letu

    Hivi si kunatamko LA mahakama kupima watu kama ni mashoga au laa huyu aabgaliwe vizuri,huwezi mpa mtu sifa ambazo hata yeye tu kujisifu anaogopa.Alafu wew mwanaume punguza tabia za kitoto
  5. Drkito

    JamiiForums Tanzania Mbowe uling'ang'ania lockdown, umeona kilichotokea kwenye uchumi wa Kenya?

    Ambao hatukujifungia wala kuumwa hii tunaona kama ujinga tu
  6. Drkito

    JamiiForums Tanzania Haya hapa ni maoni ya Sheikh Ponda Issa Ponda kuhusu ripoti ya CAG

    Yaani mtu katoa fact yeye anakuja na stori za masifa kwa mama yake yasiyo endana na uhalisia kabisa
  7. Drkito

    JamiiForums Tanzania Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

    Tunatumia pia pesa kumpa huyo mungu wako uchumi ukiharibika sijui atapata nin huyo mungu wako
  8. Drkito

    JamiiForums Tanzania Haya hapa ni maoni ya Sheikh Ponda Issa Ponda kuhusu ripoti ya CAG

    Msengerema wew
  9. Drkito

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yawagusa Watanzania, apongezwa na kuungwa mkono kila Kona

    Hiv unajua hata ni watu wangapi wanafatiliaga hotuba ya mtu mdhaifu we mtoa mada jiheshimu sana
  10. Drkito

    JamiiForums Tanzania Sungusungu ni mzigo tunaoongezewa sisi makapuku

    hii kitu hivi ipo kisheria au maamuzi ya mtaa na mtaa maana imekaa kichoko choko sana haiwezekani polisi wapo alafu tunalipa watu wakuokota okota kuja kutulinda huu ni umaandazi mazafanta masisiemu
  11. Drkito

    JamiiForums Tanzania Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

    Hiyo habari yako umeandika stori ya kufikilika, kama yakufikilika sawa hutaki kuaminiwa, ila kama ndo ushuhuda wako alafu unakana kuwa hutaki kuaminiwa wew nawe ni mnafiki hujui hata dhamira yako yakuandika hiyo stori yako
  12. Drkito

    JamiiForums Tanzania Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

    Wahuni tu wote kiujumla usisadiki cha mwenzako kuwa kweli ila yey uongo ule ule wa zumaridi anataka kuamuniwa
  13. Drkito

    JamiiForums Tanzania Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

    Imani bwana, Mwenzako zumaridi ana matatizo ya akili ila wew mzima yani unajiona wew upo sahihi sana kusema kwamba ulifika mbinguni ila zumaridi muongo alafu mbinguni ulienda ukaimba na kurudi tu. Enh tueleze kidogo hao mliokuwa mnaimba pamoja na wametoka duniani au wenyew in Wakazi wa huko.
  14. Drkito

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi wa vitendo

    kalazimishwa kufanya au niwajibu wake yani hizi ng'ombe zimekaliana CCM sijui zinaishi tofauti na sisi
Back
Top Bottom