Recent content by DrKeku

  1. DrKeku

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Hakuna jambo lolote lisilowezekana kwa MUNGU. Anza na watoto kama unao, kabla hamjalala fanyeni Ibada pamoja, muombeeni na Mama yao tena asikie hata asipojumuika. Mnunulie zawadi mara 1 1 hata kama ni ndg, siku 1 1 hata kama ni mara 1 kwa mwaka, mtoe out na watoto, hata kama ni sehemu ya...
  2. DrKeku

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Brother, pole sana... Naelewa hali unayoipitia, naelewa kale kaunyonge unakokasikia ndani ya moyo hadi kufikia kuandika humu, nakuelewa. Ila wakati mwingne usiwe mnyonge sana. Simama kama kidume brother, huyo ni mke wako hatakiwa kukuzidi akili, though kikawaida hauwezi kumuendesha mtu mzima...
  3. DrKeku

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Sh 20,000 kwa ajili ya cheti cha kuzaliwa RITA yanahusisha nini na nini? Kwanini natoa malipo ya ziada kama ya lamination?

    Kiongozi, nimeuliza kama huo nao ni sehemu ya utaratibu wa Malipo ya Serikali? Wala haukuwa na haja ya kuandika maelezo meengi, labda kama na wewe ni mnufaika wa mambo kama haya. INTEGRITY! INTEGRITY! INTEGRITY BUDDY.
  4. DrKeku

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Sh 20,000 kwa ajili ya cheti cha kuzaliwa RITA yanahusisha nini na nini? Kwanini natoa malipo ya ziada kama ya lamination?

    Ili kupata cheti cha kuzaliwa kupitia mfumo wa eRITA, unatakiwa kulipa Sh20,000, kisha kwenda RITA kuchukua cheti. Wiki hii nilifika RITA Chalinze DC kuchukua cheti cha mtoto. Baada ya kuchapisha cheti, mhudumu alikifanyia lamination na kuniambia nilipie Sh1,000 kwa ajili ya huduma hiyo...
  5. DrKeku

    JamiiForums Tanzania Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

    Kwa mtazamo wangu, hali hiyo inaweza kuwa imesahabishwa na mambo yafuatayo: 1. Ikiwa ni mpenzi wako tu, na wala sio mke/mume halali mliyeoana... Huenda atakuwa anaona aibu au anafikiria watu watamuonaje huko nje, yumkini anaogopa kuonekana anaishi na wewe wakati sio mume/mke halali - hata kama...
Back
Top Bottom