Recent content by drezzydante

  1. drezzydante

    Haki itendeke katika ajira za Jeshi La Polisi

    Round ya pili inachukua muda gani kutoka maana kozi si ishaanza au?!
  2. drezzydante

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Is there second pdf au selection?!
  3. drezzydante

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hii inakuaje bogi la pili na la tatu ni lipi ?!
  4. drezzydante

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    So laki 9 kwa mwezi … sio mbaya … nasikia pia kuna other pay malipo nje ya hizo kama kitengo nk… is it true ?!
  5. drezzydante

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    kwa hiyo ni kwa mwezi ndo wanapokea laki 6 na laki 3 ya posho wa diploma ni hivyo tu?!
  6. drezzydante

    Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

    Huyu toka alivyojifunza neno “Tafuta hela” darasa la nne ikawa wimbo akiwa anatumwa dukani asisahau hence the repitition kila muda neno hilo hilo😏this generation may the one above have mercy on you…
  7. drezzydante

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hivi kwenye kwenda depo kuripoti mnaenda wenyewe kila mtu kivyake au na bogi…?! Kwa pamoja?!
  8. drezzydante

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hiyo ni watu 5000 ndo waliopita usaili mzima?! Bara na visiwani?! Degree mpaka form 4 ?!
  9. drezzydante

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu kwa mfano kama address ya barua nimeandika sanduku la posta ya Dar halafu naishi Zanzibar kwenye profile details naweza fanyia online test zanzibar au inakuaje hapo?!
  10. drezzydante

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Hello samahani wakuu naomba kuuliza PGSS 4.1 scale yake ni ngapi haswa maana inachanganya na PSSG 4.1?!
Back
Top Bottom