Recent content by Drewz

  1. Drewz

    JamiiForums Tanzania Kilimo mlandizi

    Sawa kaka,wacha nikabebe sample ya udongo maana nilikua sijui maabara za kilimo zilipo pia
  2. Drewz

    JamiiForums Tanzania Kilimo mlandizi

    Ndio mkuu. Kiufupi. Shamba lipo la mtu wangu wa karibu nae hajawahi kulima,kapewa km urithi na anaondoka tz sasa,ndo ameniachia niliendeleze. Ndo nauliza ambaye anauelewa na ardhi ya mlandizi nijue cha kufanya
  3. Drewz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mdada uki-date na mwanaume kijana kama ontario (sir jeff dennis) hutakaa ulale njaa hata siku moja

    Nimecheka sana kwa nguvu kusoma hii comment
  4. Drewz

    JamiiForums Tanzania Kilimo mlandizi

    Jamani napenda uliza maeneo ya mlandizi mazao gani yanakubali sana??
Back
Top Bottom