wapuuzi sana dawa ya waongo na wazembe ni fupi. suala la umeme lina siasa ndani yake na inakera sana kukosa habari za mwenendo wa kampeni ili tufanye maamuzi stahik. CCM hawaaminiki wala hawauziki tena TENA. THEY MUST REST IN PIECES..
mleta mada nadhani hoja yakoingekuwa ya msingi kama ungeeleza ni kanuni gani iliyovynjwa. nadhani tukiacha ushabiki tunaweza kuelewana. sote tunajua kamati ya maadili ya ccm ilipoka madaraka ya halmashauri kuu na hapo ndio kanuni ilipovunjwa sijui kama ulifuatilia mambo barabara
acha fikra potofu kudhani kila anayepiga ccm na mgombea wake wameandaliwa. kwahiyo mtu akikupinga amebutuga amani?halafu kwani watu wanaopaswa kwenda kwrnye mikutano ya kampeni ni wafuasi wa chama tu au bado ni upotofu uliopitiliza? i hope that mesaage is sent very loud and clear kwa mgombea...
huo ulioongea hapo ni utumbo.. kama ameenda kambi ya upinzani ulitaka wafanyeje. hiyo pia ni message kwake kukubaliana na hali halisi mimi sijaona kosa lao. wewe ni sawa na mgombea ubunge wa moshi na watu wake kupiga watu wanaoonyesha kuwa wako tofauti na yeye.
umenena vyema ndugu kama tume itakua imeamua kufanya kama hoja ya mleta uzi ilivyo basi hawatakua na uwezo wa kutambua wizi wa kura kwani dhana ya kuandikisha watu kwenye eneo wanaloishi itakua haina maana na kwa hakika hilo ndo litakua goli la mkono..
watu wa type yako ni wengi. magufuli anategemea ilani hana maono binafsi ni sawa na bendera. hizo ajira walishasema wengi lakini si ajabu hata wewe ni jobless lakini bado unaendelea kushabikia ujinga.. we need transformative gov not just a clean person..
uelewa wako ni mdogo kuliko unavyodhani. ester bulaya alikua mshindi wa tatu kwenye kura za maoni lakini chama kiliona anafaa kikamruhuru kuchukua fomu na mshindi wa kwanza alimpa support sasa wewe ulitakaje hapo. acheni kudandia gari kwa mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.