Recent content by Dreamchaser2000

  1. Dreamchaser2000

    Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

    Nachojua s2kizzy ni beatmaker na master jay Ni music producer kwaiy apo umefananisha vitu viwil tofaut
  2. Dreamchaser2000

    Vidole vya mikononi na miguuni kuvimba na kuwasha shida ni nini

    Habari Wana JF Binafsi Kuna changamoto ya kiafya nimeipata nashindwa kuelewa shida ni nini .Nimesafiri kutoka dar es salaam mbaka nyanda za juu kusini kwa ajili ya mishe mishe akini katika kukaa maeneo ya huku siku kadhaa nimekuta vidole vyangu vya mikononi na miguuni vina vimba na Kuna wakati...
  3. Dreamchaser2000

    Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Coco Beach to mabibo Mabibo hostel to kariakoo Hizii route nimepiga Sanaa mdg mdg ty huwa na mentality ambayo nimeizoea kutoka mkoa kwmb sina ulazima wa kupanda daladal wakat na uwezo wa kutembea [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Dreamchaser2000

    Nauza vifaa vya saloon ya kike

    Habari wakuu Nauza vifaa vya saloon ya kike kwa ajili ya kucha na kutengeneza nywele ,vifaa ni bado vipya kabisa . Location Kinondoni Dar es salaam. Contact/namba;0623524725
Back
Top Bottom