Recent content by DrBulugu

  1. DrBulugu

    JamiiForums Tanzania ZBC waleta aibu Zanzibar!

    hata hii Star tv nayo ni walewale tu!
  2. DrBulugu

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kubeba mimba baada ya operation

    Ukweli kama unataka kuzaa kawaida baada ya c/s (trial of labour) lazima uwe chini ya mikono salama ya madaktari na hospitali yenye vifaa kwa ajili ya dharura hasa hasa kuchanika kwa uterus husababisha kutoka damu nyingi (PPH) ni hatari sana hii kitu!
  3. DrBulugu

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kubeba mimba baada ya operation

    Pamoja na ushauri wa wadau. Mchango wangu ni kama ifuatavyo. Kwanza ni lazima ujue sababu kwa nn ulifanyiwa c/s, je kulikuwa na complications zozote kama uterine tear, na kwann mtoto alikufa( pole). Lkn pia ni muhimu sana km nilivyosema awali nenda kwa obstetricians ww na mwenza wako mkapate...
  4. DrBulugu

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kubeba mimba baada ya operation

    Maelezo mazuri ZeMarcopolo ila point na.2 sio sahihi . Kuna usemi tunatumia once caesarean section then next delivery must be at hospital, hii ni kutokana na hatari iliyopo wakati wa kujifungua kwani tayari mji wa kizaza (uterus) una kovu litokanalo na operation ya kwanza. Hivyo inategemeana na...
  5. DrBulugu

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuota MENO Vs Kuharisha

    Basi kwa maelezo hayo ya vipimo basi huenda ikawa ni loose stool tu kwani pia kama ni kuharisha lazima utaangalia ni mara ngapi kwa siku, kwa siku ngapi? Nature ya stool, Kama kuna blood in stool, au kama ana dalili za upungufu wa maji mwilini km yupo irritable, macho kuzama ndani kidogo,ukivuta...
  6. DrBulugu

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuota MENO Vs Kuharisha

    Faeces are sometimes so liquid they are mistaken for urine. NB: it is normal for breastfed babies to have liquid stools. Some cow's milk causes harmless green stools. Diarrhoea may be an early sign of any septic illness.
  7. DrBulugu

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuota MENO Vs Kuharisha

    Meno yanapoota huwa yanawasha hv hivyo mtoto hupeleka vidole kujaribu kujikuna hivyo ni rahisi sana kupeleka na vijidudu vya magonjwa ktk mfumo wa chakula hivyo kupelekea kuharisha! Ikumbukwe pia mtoto hutambaa kwa kutumia mikono na kama sehemu si safi hupeleka uchafu mbalimbali kinywani.
Back
Top Bottom