ndugu wana jf, nimekua nikisumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu. nimejaribu kuutibu lakini umekua ukipotea na kurudi baada ya muda. naombeni ushauri kuhusu dawa gani nitumie kuondokana na ugonjwa huu..
mnasema malipo duniani- lah! Nakataa. Allah wenu hana lolote, sheria itamkata yoyote atakae ivunja-iwe mwenye roho safi au chafu. Waacheni wafanye kazi zao, pale watakapo kosa hekima sio juu yetu kuwa hukumu bali mamlaka ipitayo ya wanadamu itawashughulikia kwa wakati wake..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.