Cha kufanya cha kwanza ni kufanya huduma ya kwanza ambayo kama upo peke yako
Ni vema kumtambua nyoka maana sinkila nyoka ana sumu ya kuangamiza
Kama hukumuona usihangaike kumtafuta
Bali weka mguu wako chini ili sumu isipande kwa kasi omba msaa da haraka sana
Kufunga ni sahihi japo...
Ndiyo yupo na niliwahi kukutana naye anakaa juu ya mti ni jamii tofauti hii ya nyoka wanapatikana mapori ya hifadhi karibu na mito ya Kitibitibi kijiji cha zeze wilaya kasulu mkoa wa Kigoma wana rangi ya kahawia na huwika mara nyingi wakiwa wanajibana katikati ya mti kuvua gamba lao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.