Recent content by Dr.Suleiman

  1. D

    JamiiForums Tanzania Serikali iwasaidie vijana kupata ajira kupitia miradi ya wawekezaji

    KWA mujibu wa Takwimu toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) iliyorekebishwa Oktoba 31, 2014, kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kwa hivi sasa kiko kwenye asilimia 10.70. Kiwango hiki cha sasa kimeshuka kutoka kile cha asilimia 11.70 cha mwaka 2007. Maana ya takwimu hizi kimsingi ni kuwa, ajira...
  2. D

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili yafungua ofisi za kisasa nchini

    Agosti 11 2014. BBC Idhaa ya Ulimwengu, imezindua ofisi zake jijini Dar es Salaam. Ofisi za Dar es Salaam zina studio ambazo zinatumika kuandaa matangazo maarufu ya redio ya asubuhi, Amka na BBC, na pia kuendesha tovuti ya bbcswahili.com. Katika kuadhimisha uzinduzi huo, vipindi vingine viwili...
  3. D

Back
Top Bottom