Hello wadau,
Kama kila mara unafungua ChatGPT, unaandika prompt, unapata jibu halafu unaondoka—bado hujajenga mfumo wa AI wa biashara.
Umetumia AI.
Lakini kesho utarudi na kuanza tena.
Mfumo unaanza pale AI anapoelewa biashara yako, bidhaa au huduma zako, wateja unaowalenga na namna...
Ukisema AI ikitumika bila review inaweza kumpoteza mtu, hapo nakubaliana na wewe. Hata kwenye mfano wangu alikosea muda wa workshop na nilimrudisha.
Tofauti yetu labda ni hapa: wewe unaona AI aishie kwenye reference; mimi naona anaweza kufanya kazi zaidi ikiwa ana access ndogo, rules, human...
Asante Diwani.
Ni sehemu gani umeona constructive zaidi—framework ya levels nne, au idea ya AI employee mwenye context, memory na feedback?
Ningependa pia kujua kazi gani ungeanza kumpa AI ndani ya biashara yako.
Umesema jambo muhimu sana. Capability ya AI peke yake haitoshi; watu wanahitaji kujifunza kuipa context, tools na workflow badala ya kuitumia kwa random prompts.
Huo mfano wa Medvi na zaidi ya dola bilioni moja ningependa kuona source yake ili tuutenganishe vizuri na hype. Lakini direction ya...
Concern yako ina msingi, Makebo.
Mimi sioni hatari ya karibu kuwa AI amepata “roho mbaya”; hatari ya sasa ni kumpa access kubwa bila controls, halafu akafanya kosa au akaharibu taarifa bila review.
Ndiyo maana AI employee anatakiwa kuwa na mipaka: access ya lazima tu, approval kabla ya action...
Hello wadau,
Nikikwambia kuwa siku za karibuni biashara nyingi zitakuwa na wafanyakazi wa AI utaniamini?
Sizungumzii ChatGPT ya kumuuliza maswali, kupata majibu na kuondoka.
Ninazungumzia AI anayefahamu biashara yako, bidhaa unazouza, wateja unaowalenga, aina ya matangazo unayopenda na kazi...
Ukubwa au udogo wa risk inaendana na taaluma pamoja na ujuzi wa kufanya biashara husika.
Kama hauna taaluma ya biashara hata kidogo tafuta mentor mwenye historia ya kufanya biashara iliyofanikiwa.
Taaluma yako ya biashara ni muhimu kuliko biashara yoyote. Anza hapo kwanza.
"😂 Bro, kama unadhani commission ni utapeli, ni wazi mshahara wako umekaa kama 'subscription' ya shida.
Huku hatupepesi mdomo – tunapeleka pesa benki. Wenye mindset ya ‘kazi za kipumbavu’ ndio huachwa na change ya mafanikio. 😏"
😂 Si kila mtu ana stamina ya kushughulika na hela kubwa – wengine wamezoea maisha ya 'salio halitoshi.'
Hii fursa ni kwa wale wenye malengo makubwa, sio wanaolalamika kwenye comments wakisubiri kazi ije kama sadaka. 😏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.