Hayo uliyoyataja yanatokea hata ukioa mke mmoja hamna nyumba ikakosa ugomvi kikubwa ili jambo linalenga hasa kuondosha machafu ya uzinifu kwenye jamii lakini ukioa kwa nia ya kutaka sifa huenda ukapata shida hata huyo mmoja atakushinda ndugu
Ongeza mke kaka ataheshimu zamu yako ,wanawake wanahitaji mapumziko lakini kimaumbile mwanume anahitaji tendo kila anaposhiba chakula ...so utateseka sana mwisho utumbukie kwenye michepuko .....mwanaume bila matara ni sawa na gari lenye tairi moja...safari itakuwa ngumu mzigo utakushinda kuubeba
Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja
01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara
02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.