Madakitari wa mchongo nadhani wanaletwa na huu utaratibu unaoanzishwa na MCT. Umuweke mtu mtaani miaka mitatu bila practice; Kwa bahati akaja kufaulu mtihani wako wa nadharia 😂😂 unadhani hapo utakua na dakitari; sidhani hata kama atakua anakumbuka hata kushika syrii😂😂
Njia sahihi ni kupitia training zao tangu mavyuoni. Hili zoezi wanaliendesha ni kwamba walitafutie utaratibu mzuri wa kuliendesha kwapamoja na usimamizi mzuri wa practice.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.