Kuna jamaa mmoja anaitwa Beck's yupo pale Mavuno house Posta, huyu jamaa ni mkali wa Software za simu
nilishampelekea akaifanyia kazi nzuri jaribu ku -check nae.
Mavuno house ukuta unaotaka gusana na Fast Food kuna kauchochoro yupo humo ndani au ukiuliza hao jamaa hapo njee anafahamika sana.
Ni kweli hilo na mii nimeliona. hata mm nahitaji ushauri, nina Laptop aina ya HP nikiweka Antvirus zungine mara inakuwa slowly, nikitoa inakuwa vizuri, je niweke aina gani ya Antvirus na kama mnayo iliyo kuwa cracked ningefurahi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.