Recent content by DR.MBWEMBWE

  1. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka hii nikacheka sana; tuliowahi kukojoza kitandani tukiwa boarding njooni tutoe ushuhuda

    Nimawatoto wanakojoa mno, ngoja nijaribu kuwalea kwa hii mbinu nione..
  2. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka hii nikacheka sana; tuliowahi kukojoza kitandani tukiwa boarding njooni tutoe ushuhuda

    🤣🤣🤣 Unapataje ujasili huo, alafu hata kiu kikubane vipi unakunywa maji aste aste kama mwanajeshi.
  3. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    Hapo yeye ndiye atakuwa amemua, na kama ningekuwa najua kwa asilimia 100 kuwa atachagua pipi nisingemuwekea chaguzi, ningempatia pipi direct.
  4. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    Bado sio Freewill maana katika hizo options tayali anajua utakachochagua.
  5. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    Chukulia huo mfano wako kama ulivyo uhamishie kwa mungu. Haya mungu ananipa andazi na pipi nichague kimojawapo, Je anafahamu nitachagua kipi?
  6. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    Uhuru wa Kuchagua kwa ninavyoelewa ni uwezo wa Kuchagua pasipo kuingiliwa, maanake Mimi ndio najua nitakacho chagua, sasa kama mungu tayali anajua nitakachochagua, maanake alishalipanga before kuwa nichague lipi. Sasa kama alishanipamgia huo uhuru unao usema mbona siuelewi.?
  7. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

  8. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    Bado Kuna utata, k Kama mungu anajua chaguzi zetu hata kabla hatujachagua. Huu sio uhuru tena. Yeye anakuwa kama vile ameandaa Igizo, na amepanga characters na Kila characters anafahamu ataplay role ipi, na ili Igizo liende vizuri characters hawawezi kucheza kinyume na Matakwa ya mtengeneza...
  9. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    Ok naona kama unakwepa swali kimtindo. labda twende kwa mfano huu: ninawazo la kwenda kuzini. Hivyo nina two choices Either nisiende kuzini au niende. Je mungu ambaye umesema amenipa Freewill je kabla sijachagua lolote kati ya hivyo viwili je anajua nitachagua nini?
  10. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    Hapana sio kwamba ni magumu, bali yanajichanganya sema kwasababu tumekuwa brainwashed tangu utotoni, na tumekalilishwa kuwa maandiko ya mungu huwezi kuyaelewa kwa akili za kibinadamu wa huwezi kuyakosoa, hii ndio inawafanya watu wawe waoga na kushindwa kugundua mapungufu ya hizi Dini.
  11. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    Hapo katika hiyo Freewill, linazaliwa swali jingine tata, kama amenipa uhuru wa Kuchagua, vipi je kabla sijachagua Mungu anajua nitachagua nini?
  12. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya baadae (kwa future) (A) Maana yake mimi siwezi kwenda kinyume na anachokijua Mungu, sasa hii kauli ya...
  13. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Gari ya bia yaanguka Kilege Bagamoyo

    Saana tena hizi campuni hawanaga shida, kunywa tani yako, ila sharti unywe hapohapo sehemu ya tukio usiondoke na chupa wala kreti.
  14. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Gari ya bia yaanguka Kilege Bagamoyo

    Hii sehemu inaonekana hakuna wanywaji, mbona wanakunywa kichovu sana... Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi, nimefedheheshwa sana na Hawa jamaa..
Back
Top Bottom