Recent content by Dr mb

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hi my brothers in jf,natafuta kazi ya tour operator,tour guide and maketer,thank u

    asante,kuhusu jina la coarse uwezi kusoma commerce na usisome market kwa kuwa ni sehenu kubwa ya coarse ata hivyo niko vizuri sana kwa upande wa market,pia sio kweli kwamba siwezi kutofautisha G.reservd na nation park pamoja na kufundishwa nimejisomea kwa kiasi kikubwa vitu hvo na vingine...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Ndikumana ndwangwamereye Tosa sec 2010 CBG
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hi my brothers in jf,natafuta kazi ya tour operator,tour guide and maketer,thank u

    Asante kwa kupata wito wa kusoma habari,ninaitaji msaada wako nimemaliza chuo kikuu katika fani ya BCOM TOURISM natafuta ajira ninauwezo mzuri wa kufanya kazi hasa ktk upande wa masoko/market.0764584861 Kwa mawasiliano na taarifa kwako.asante na ubarikiwa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hi my brothers in jf,natafuta kazi ya tour operator,tour guide and maketer,thank u

    Wadau tusaidieni na mimi ninaitaji msaada kama wa jamaa,nimesoma Bcom tourism ninauwezo mzuri wa kufanya kazi hasa kwa upande wa masoko/market.0764584861 asante kwa msaada wako
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kazi kazi kazi ...new new..new

    Upo mkoa gan
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

    Nakupa pole kwa moyo mweupe kabisa ndg yangu lakin wacha tu nikwambia una mawazo finyo mno ,naomba kama utojali nitumie vyeti vyako vyote na unako fanya kazi na mm nifanye hivo hivo tubainishe ukwel mkuu.
Back
Top Bottom