Recent content by dr maguha

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

    Upuuzi tu kwani lazima ahuzulie kikao au akuhuzulia unamlipa pambana na hali yako nyarandu sio level zako
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la madiwani wa Arusha namuunga mkono Magufuli kwa asilimia 100, CCM iwasimamishe hao hao!

    Tunahitaji taasisi imara sio watu imara ,obama voice
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa Ardhi, Angelina Mabulla upo wapi?

    Acha wateseke waliipenda wenyewe!!hakika2020 hawatarudia
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uwaziri wa Nishati na Madini apewe mwanamke, atakuwa na uchungu na hii nchi!

    Hii nchi kigezo cha kupewa cheo ni kuropoka na kusifia sasa kama kuna huyo mwanamke apewe ila nahisi huyo mwanamke aliwahi kuwa mke wa kigogo hapa nchini!!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo aagiza Waziri Mkuu mstaafu Sumaye akamatwe na polisi popote alipo

    Anatafuta umaarufu tu kwamba alimkamata waziri mkuu mstaafu rabbisb
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Mstaafu, Dkt. Kikwete alikubali Mke wake kuteuliwa Mbunge?

    Hawa watu walishaona sisi ni mazuzu wanaandaliana maisha trust me huyu mama anaandaliwa kuwa mtu mkubwa sana !!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kumkamata Harbinder Sethi na James Rugemalira ni sawa lakini haitoshi

    Lissu siku zote wasio na akili ndio hawamuelewi ila kama unaakili timamu lazima lissu umuelewe isipokuwa watu wachache wale wasiojielewa!!!keep it up tundu lissu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

    Tatizo Tanzania wenye akili wako kimya wajinga na wapumbavu wanapiga kelele
Back
Top Bottom