Recent content by Dr lugoma

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kesi ya wizi wa wanyama hai: Mashahidi waeleza namna Twiga hai walivyotoroshewa nje

    hao ndio wanao hujumu uchumi wa nchi hivyo wasiachiwe mpaka twiga waludi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hello wakuu wa jf mi mgeni naomba unikalibishe

    Ipo ndugu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hello wakuu wa jf mi mgeni naomba unikalibishe

    Jf naombeni nafasi humu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    Karibu sana ndugu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hello

    Nimeingia humu kwa wana jf kwa kuchangia maoni yote na kutoa hoja hivyo naomba munipokee kwa mikono yote asanteni sana mbalikiwe nyote mtakao nikalibisha kwa moyo wote
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Dr. Slaa na Mbowe huwa hawatoi matamko ya kufariji waathirika kunapotokea majanga?

    Wanachotakiwa wawe wazalendo na sio kufanya mihazara na kukiponda chama tawala
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tukio la Arusha: Rais Kikwete akatiza safari ya Kuwait

    Kiukweli mh jk umefanya jambo jema sana njoo uwaone wanao wanavyoteshwa huku njoo uje kutoa suluhisho lililo na majibu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Kiukweli hapo hatuna budi kufanya uchunguzi wa kina na kuweza kutoa suruhisho na kumpata mtu au watu wanaoendeleza huu ugaidi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hello

    Jf mm ni mgeni naomba kukaribishwa
Back
Top Bottom