Recent content by Dr kijaji

  1. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naomba kufahamu Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo

    Naomba maelezo Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo na jinsi vinavyopatikana
  2. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    DDS (Doctor of Dental Surgery)
  3. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Medical doctor vs bachelor of law

    MD moja kwa moja. Law utakaa sana kitaa.
  4. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Barchelor of science in audiology and speech language pathology

    Shahada hii inalenga kutoa mafunzo kwa wataalamu wa kutambua, kutathmini, na kutibu matatizo ya usikivu, usemaji, lugha, na kumeza kwa watu wa rika zote. Wataalamu hawa husaidia watu wenye matatizo ya kusikia, kuzungumza, na kuelewa lugha. Vyuo Vinavyotoa Programu Hii: Kwa sasa, chuo kinachotoa...
  5. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
Back
Top Bottom