Recent content by Dr James G

  1. Dr James G

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No election
  2. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Umeongea kinabii sana sana ubarikiwe
  3. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Wanaamini chuki zaid ili kufanya siasa
  4. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Ni upumbavu kukariri akili had uwe umeenda chuo,huyu Makonda ana akili ya kucheza na siasa ni gwiji la siasa za ukanda huu kwa sasa,ni kijana wa muda wake anajua kusoma muda na kwenye na nyakati.
  5. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Kwa siasa za bongo kwa sasa Makonda ni kama maji usipoyaoga utakunywa,
  6. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano...
  7. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS

    Nkuba anajipigia promo
  8. Dr James G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuwa Makamu wa Rais 2025 - 2030

    Hapana, PCM ana mheshimu sana Boss wake,kumbuka historia inaonesha PCM ndio aliwah kumtamkia maneno SSH kua makamu wa rais na ikawa.
  9. Dr James G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuwa Makamu wa Rais 2025 - 2030

    Ana sifa za kua kiongozi wa juu pia
  10. Dr James G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kuwa Makamu wa Rais 2025 - 2030

    Wengi wanaweza kukataa au kukubali, lakini huyu kijana ameonesha uwezo tangu akiwa mkuu wa wilaya Kinondoni, mkuu wa mkoa Dar, mwenezi wa chama cha mapinduzi na sasa mkuu wa mkoa Arusha. Uwezo wake wa kujituma katika kazi, uwazi, kushuka chini na kutatua kero za wananchi. Anakipenda chama chake...
  11. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

    Ni hatari kwa taifa
  12. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kwann iliwezekana ? Nini kimetokea ? Mbona tulisahau kama Hili nalo ni changamoto? Ni kwel kuna watu wanamhujumu Rais? Au ni Kauli kata upepo iliyotengenezwa kuonesha hujuma ndani ya mfumo ? Au kuna wachache wanapiga madili na 10% ? Eh Mbona this is too much …! Tumerud Miaka 1960 kweli jiji...
  13. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

    Elimu Elimu Elimu Happy 70th birthday Edward lowasa [emoji120][emoji3531]
Back
Top Bottom