Recent content by Dr Akili

  1. Dr Akili

    Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Wakifanikiwa watakuwa wameongeza credibility ya mgombea wao kwani jamii itajua kuwa ccm inamwogopa mgombea huyo hadi kutaka kumkata na huko alikokimbilia kupitia msajili wao wa vyama vya siasa na tume yao ya uchaguzi.
  2. Dr Akili

    Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  3. Dr Akili

    GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

    Kawekewa mpinzani dhaifu ili atoboe kuingia mjengoni.
  4. Dr Akili

    Kura hupigwa vituoni na kuhesabiwa vituoni mbele ya mawakala wa vyama na wagombea na kutangazwa vituoni.Wizi hutokea wapi?

    Vyama huweka mawakala wanaonunulika au kuhongeka kirahisi. Wakati mwingine vyama haviweki mawakala kwenye baadhi ya vituo kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kuwalipa. Suluhisho: Tume ya Uchaguzi iruhusu vyama kuweka security cameras zao kwenye vituo vya kupigia kura na mawakala waruhusiwe kuwa...
  5. Dr Akili

    Sauti ya MTU, na Jinsi anavyoongea, inamchango mkubwa katika Kukubalika kwake Kwa Wasikilizaji wake !!

    Wengine sauti zao zinakufanya upate usingizi mtamu.
  6. Dr Akili

    Natabiri: Kabla ya Siku 10 alizosema Askofu Gwajima kutimia atakuwa kashakamatwa

    Siku 10 alizotangaza ni za kuhamia kwa Mpina. Hivyo hakuna sababu ya kukamatwa. Yeye pamoja na Polepole wanategemewa watoke kwenye hicho chama kabla hakijawafukuza kwenye chama, ili kulinda heshima ya chama.
  7. Dr Akili

    Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

    Tanzania siyo Kenya. Watanzania kitu pekee muhimu ni nchi yao kuwa na amani. Kukiwa na amani kila mtanzania ataweza kufanya kazi na kuishi kwa jasho lake kulingana na urefu wa kamba yake. Asiyefanya kazi na asile isipokuwa watoto na walemavu ambao watalishwa na wale wenye uwezo wa kufanya kazi...
  8. Dr Akili

    GE2025 ACT wazalendo walichokifanya kule Zanzibar 2015 baada ya kumeguka CUF wanaweza kukifanya tena 2025 huku bara baada ya kumeguka CCM na CHADEMA

    Haya si ya kupuuzwa. Mchuano kwenye uchaguzuzi mkuu wa mwaka huu utakuwa mkali kuliko ule wa mwaka 2025 kipingi cha Lowassa. Msikilize hapa mchambuzi nguri na mwanahabari wa masuala ya siasa, Mr Ngurumo: https://youtu.be/4q0FicOPuo0?si=p6z9H2p5quFqvMK4
  9. Dr Akili

    GE2025 ACT wazalendo walichokifanya kule Zanzibar 2015 baada ya kumeguka CUF wanaweza kukifanya tena 2025 huku bara baada ya kumeguka CCM na CHADEMA

    Siasa ni kama mchezo wa karata. Mjanja anayeweza kuzicheza karata zake vizuri kwa kawaida huibuka mshindi. Zitto Kabwe ni hodari wa kuucheza huo mchezo. Anajua kuwa kumeguka kwa vyama vikuu vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu vinatoa fursa za kuimarisha chama chake. Mwaka 2015 chama cha CUF...
  10. Dr Akili

    Fomu za urais wa shithole

    Na 2030 size yao itakuwa sawa na NLD.
  11. Dr Akili

    Mitandao wa FACEBOOK na YOUTUBE ina shida muda huu. Hii ni sababu ya SIASA au ni nini?

    Kuna nini nyuma ya pazia kuhusu huyu Humphrey Polepole ambacho TCRA inakiogopa? Kwanini wanafunga mtandao wa YouTube kila anapotaka kuongea? Leo tena tangia saa 1 usiku hadi saa hizi mtandao huu haupatikani na kuwakosesha watanzania habari mbalimbali za duniani kupitia mtandao huu. Mbona...
  12. Dr Akili

    GE2025 Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

    Gazeti la Mwananchi nalo limeanza kuwa gazeti la udaku.
  13. Dr Akili

    Kumbe 2015 Warioba angelikuwa rais wa JMT na 2025 angalimwachia Polepole. JK atamtupa Burundi na SHS akamtupa dogo Cuba. Siri kaitoa mwenyewe dogo

    Jana Humphrey Polepole ameweka wazi kile anachokililia ambapo hapo mwanzo hakikueleweka na wengi tukadhani labda akili zimemfyatuka. Polepole ametoa siri ya mpango wa mtandao wao wa kuchukua kiti cha urais wa mwaka 2015 na 2025. Mtandao huo unahusisha vigogo kadhaa kwenye serikali ya JMT na...
  14. Dr Akili

    Polepole asiendelee kupuuzwa na CCM, nati kichwani mwake zilishafyatuka, atimuliwa kwenye chama haraka

    Kuendelea kuwasikiliza watu ambao akili zao zimefyatuka wanaweza kukuambukiza na wewe akili zako pia zikafyatuka. Watu hawa ni kama akina Polepole na Gwajima. Wenye akili timamu huwa kwanza wanajiondoa kwenye chama chao ndipo wanaanza kukinanga. Ukifanya hivyo utakuwa msaliti ndank yachama chako...
Back
Top Bottom