Anaposema miezi sita haitoshi kupata katiba mpya anamaanisha nini? wakati Jaji Sinde Warioba alianza na mchakato toka enzi za kina kikwete, miezi sita haijatimia tu??
Niunge mkono hoja kwani itakuwa maajabu yaani upande mlima kilimanjaro karibu na kileleni bado 10m, kisha ughairi ubebwe na chopa kumalizia safari, wazee waendelee kukaza na kushikilia pale pale.
Nakubali kazi ya jeshi ni kulinda mafisadi na mali zao zikitoroshwa kwenda nje, wao wajeda wanahakikisha wanaiba vizuri tumeona kwenye swala la makaa ya mawe kusini na korosho pia.
Unaweza kukuta hao raia wanaokusanyika kumsikiliza wanalipwa sio bure, maana sio kwa zile pumba alizokuwa anaongea kwamba watu waliokufa ni wachache na kuhesabu miili hawawezi eti wako kwenye maombolezo, unawezaje kuua halafu uomboleze??
Kuhusu ukweli kwamba mauaji ya 29 oktoba yalipangwa hiyo iko wazi kama yanavyopangwa mauaji na vitendo vya utekaji vya kila siku, wasingekuwa wamepanga wasingeagiza askari kutoka zanzibar na uganda wala lile kontena la silaha, pia tusingemwona yule bonge Chivayo ikulu.
Huyo huwa tunamuignore tu hatujadiliani naye jambo, labda kama unataka kumtukana tu zombi hilo wako wengi humu huwa wanapokea elfu saba saba kwa siku, kazi yao ni kutetea mauaji.
Duh sasa mjionee wenyewe tofauti kati ya hawa polisi na majambazi ni nini? na huyo unakuta wamemtamani tu hana hata uhusiano na kesi yao? Jiulize angekuwa wa kiume wangemchukua? Ndio maana tunasema tupinge ubakaji/ulawiti wa polisi - Utawala wa sheria ni muhimu katika kuongoza nchi.
Achana na Kyela kuna Tunduma, Mwanza na ile miili ya mwananyamala, muhimbili iliyolazwa tu chini kwani mochuari kulikwa kumejaa sijazungumzia iliyochomwa moto, hii ni miili tunayoijua kuna ambayo hatuna taarifa nayo unaweza kukadiria ni mingapi? Dar pekee miili ilikuwa zaidi ya 5000 inayojulikana.
Kuna wanaodai vifo vilikuwa 23k kwa hesabu zako hizo ni walau watu 5 na majeruhi mmoja kila dakika, hii ni rekodi mpya katika ardhi ya Tanganyika. Tunapendekeza oktoba 29 iwe siku ya kitaifa kuwaenzi mashujaa.
Mimi nnavyojua mapenzi huwa hayalazimishwi, wenyewe watakuambia mbona nchi zingine watu wanatekwa wanauawa, wanabakwa na kufirwa(hii ya kufirwa kwa wenzetu(mbele) sina uhakika kama inafanywa kwa kiwango cha nyumbani huku kesi ni nyingi mno kuziignore, inaweza ikawa ni ubunifu wa kwetu), kwa hiyo...
Ndio, nimetaja kwa ujumla ukishasema Tanganyika na watanganyika na itikadi zao za kisiasa, hayo mengine automatically yanaangukia kwenye Tanganyika, ambamo humo nataka nikulete kwenye hoja kwamba hawajafanya majukumu yao.
Katika kulinda rasilimali zote za nchi wao wanalinda mwendokasi, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.