Recent content by Dpresident tz

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Dodoma kuna mipango miji??au unasema chuo cha mipango??Hii ndo Dodoma unayoisema au hii ni Darfu Sudan?🤣🤣
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    Karibu ofisi za nactvet kanda ya ziwa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    Kiseke ppf wachina wako speed sana
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kaiulize serikali kwamba ni nani aliyeamisha hela ya ujenzi wa barabara ya kamanga ferry to sengerema na Sengerema to nyehunge wakati mikataba imeishasainiwa na mkandarasi yuko kazini???Na kwanini ujenzi usitishwe bila taarifa nakuacha mavifusi ya udongo katikati ya barabara??
  5. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kama mnadangaywa na mipango wa system kwamba Mwanza imedumaa na kutaka kuipoteza kabisa mnapoteza muda.Saizi ni mwaka mzima tangu wafunge bara bara za kuingia na kutoka kwa kisingizio cha kujenga vidaraja viwili mkuyuni na mabatini,sasa kawaulize wanamwanza wamepungukiwa nini na wao wamefaidika...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Tunalijua hilo ndo maana uwezi sikia watu wa Mwanza wanalalamika kuhusu changamoto zao kama huko kwingine zaidi ya kupambana nazo.Wewe unapiga domo ukiwa huko jangwani hata nikikwambia umuhimu wa daraja la jpm uwezi kunielewa.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kumbe unalitambua hilo basi Dodoma pambaneni muifikie angalau Geita kuliko kuangaika na Mwanza ambayo hiko mbali sana.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kamwambie atuache au atupige bomo la nyuklia kabisa ili tufutike kabisa muda bado anao.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Wewe leta zako kama sio vijengo vya Mtumba na vijumba vya vyumba viwili vya NHc.Badae ulalamike unataka cbd ya Mwanza tu wakati Cbd ya dodoma unaikataa.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Wewe hakuna unalojua kuhusu kanda ya ziwa na Mwanza.Uchumi wa Mwanza hauwezi kuelekea Geita kwasababu nyingi mojawapo ni geographical location na miundo mbinu.Kipindi cha Magufuri alijaribu kama kuigawa kanda kama kanda ya ziwa mashariki na kanda ya ziwa magharibi kahamishia baadhi ya ofisi...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Wewe kijana achana na taarifa za kisiasa,kwahiyo Geita ina viwanda vya tofali na refinery kubwa na viwanda vya nondo kuliko Mwanza??🤣🤣🤣Umeanza kuchanganyikiwa wewe.Mwanza isikie tu ni moto wakuotea mbali.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kichaka cha kujifichia ni mtumba nako ni vumbi tupu.Dodoma bila Mtumba ni bora kahama tu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Choicevariable haya ni moja ya majengo mapya kabisa kama unalingine sema tukusahidie
  14. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    🤣🤣🤣🤣wewe mweu kweli hiyo sio China ni Mwanza ya Tanzania.Wewe endelea kuishi mavumbini Dodoma utaendelea kuona majiji Mengine kama China kwasababu ya ushamba wako.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Ni yale yale kwasababu Mwanza hupafahamu vizuri,uliza wajuzi watakwambia kama ulitoka Mwanza miaka 2 iliyopita lazima utatoa macho.
Back
Top Bottom