Zile nafas zilizotoka utumishi hukuomba ndg? Km uliomba kuwa na subira naona wanatoa Kwa awamu awamu,huwez jua awamu ijayo yaweza kuwa yako. Km ukikosa JitAhid ujiajir mwenyewe kwa shughl yyt Ile kuliko kutegemea kuajiliwa
Pole ,km mm vile, saiv Nina kibanda changu Cha mpesa,nshaisahau hata kuapply ,ngoja nkomae Nako haka haka tutatoboa tu.ajira za bahat sana siku hiz,acha watoto wa vigogo wakalie waendelee kuchezea viti vya kuzunguka,
Kwanini PSSR siku hizi wanaita watu kazini kwa awamu, badala ya kuita wote kwa mkupuo kama ilivyozoeleka?
Yaani mfano, tumeomba kazi mwezi wa 5 mwaka jana, tukaitwa interview mwezi wa kwanza na wa pili, placement ndio inafanyika sasa lakini kwa awamu.
Watu tumefanya usaili siku moja, halafu...
Naombeni kujua nature ya maswali ya hivi karibuni kwa wale mliofanya interview utumishi kwa Kanda mbalimbali, zaman tulizoe kila usaili maswali ya research ,saiv kukoje nipen mwanga kidogo jamani.
Naombeni ushauri wa kitiba, kila nikitembea na mwanamke pekupeku lazima baada ya siku kadhaa akuambie tumbo linamuuma, na mimi kwa upande wangu uume umekuwa ukiniwasha washa kwene urethra hadi unatamani uigize kakitu ukune, lakini pia nikibana mkojo kidogo tumbo linajaa na mara nying tumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.