Recent content by Doxycycline

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ukavu uliopitiliza tundani ni tatizo?

    Ukavu uliopitiliza kwa ‘bibi’ katika umri wa kuzaa siyo hali ya kawaida. Ni hali ya kawaida kwa waliokoma hedhi (menopausal). Tatizo la ukavu husababishwa na upungufu wa homoni ya estrojeni. Pia kuna sababu nyingi zinazopelekea homoni ya estrojeni kuwa chini.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jinsi ya kutibu PID

    Poleni kwa changamoto ya uzazi. Kipimo aina gani amefanya kuonyesha ‘chronic PID’? Ushauri:- Mke afanyiwe kipimo cha ‘Transvaginal ultrasound’, tutumie kwa email info@navan.care au WhatsApp 0755313996 tutawasaidia. Karibu
Back
Top Bottom