Recent content by dour

  1. dour

    Hizi tozo kubwa kwenye uingizaji magari zinalenga nini hasa?

    Apa ni sawa na unalinunua gari mara mbili, unalinunua china, ukija tanzania unalinunua gari lako ulotoka nalo chiba
  2. dour

    SoC04 Nini kifanyike kukuza ubunifu wa teknolojia kwajili ya maendeleo ya taifa kuendana na kasi ya dunia

    UTANGULIZI. Ubinifu wa teknolojia umeendelea kushika kasi dunia huku gunduzi za teknojia mbalimbali zikigunduliwa kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo mawasiliano, elimu, afya, usafiri za uzalishaji. Teknolojia ni mchakato wa utumiaji wa maarifa ya sayansi kwa dhumuni la vitendo au matumizi...
  3. dour

    SoC04 Nini kifanyike katika usimamizi wa misingi ya utawala bora kwa maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI. Utawala bora ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya kiuchumi, kidemokrasia, kijamii na hata maandeleo ya mtu mmoja mmoja. Utawala bora ni zoezi la viongozi katika ngazi zote kusimamia misingi ya haki na usawa katika matumizi ya rasilimali kwajili ya maendeleo ya wananchi kwa ujumla...
  4. dour

    SoC04 Ni kwa namna gani mifumo ya kieletroniki ya ununuzi inaweza kuboreshwa kudhibiti rushwa na ubadhilifu

    UTANGULIZI. Maendeleo katika taifa yanaletwa na miundombinu ya uhakika nyanja zote za uzalishaji na usafirishaji. Serikali imekua ikitimiza miradi mikubwa ya kimaendeleo ambayo imekua ikitekelezwa kwa awamu. Utekelezwaji huu unahitaji ununuzi wa malighafi kwajili ya kukamilisha miradi hiyo. Eneo...
  5. dour

    SoC04 Nini kifanyike kuboresha utendaji wa wawakilishi ili kuleta Demokrasia yenye tija kwa Maendeleo ya Taifa?

    UTANGULIZI Demokrasia ya kweli ni uwezo mkubwa wa taifa katika uwasilishaji wa mawazo utakao ruhusu kupokea mitazamo kwa kila mwananchi. Katika kuzingatia hilo uwakilishi wa maamuzi kitaifa hufanywa na watu wachache wanao chaguliwa na wananchi wote. Umuhimu wa wakilishi upo kwenye kila nyanja ya...
  6. dour

    SoC04 Nini kifanyike kuongeza mapato ya ndani bila kutegemea mikopo katika shughuli za kiuchumi

    UTANGULIZI Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
  7. dour

    SoC04 Nini kifanyike katika utekelezaji wa mtaala mpya ili kuzalisha wahitimu wenye weledi katika soko la ajira

    UTANGULIZI Changamoto ya ukosefu wa ajira nchini imeendelea kukua kwa kasi huku sababu zikielezwa kua ni ufinyu wa bajeti na wahitimu wasio na weledi. Ukosefu wa ajara unapelekea vijana wengi wakijiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kuongezeka kwa vijana tegemezi. Ukosefu wa...
  8. dour

    SoC01 Ongezeko la uhalifu wa kihisia (Crime of Passion)

    Muhtasari kulingana na kukua kwa takwimu za vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi, Andiko hii imeangazia kwa undani juu ya asili ya wivu, uhusiano uliopo kati ya wivu na mapenzi, namna wivu unaleta uhalifu, na nini chakufanya kutatuta uhalifu huu wa hisia. UTANGULIZI Mnamo tarehe 16 ya mwezi wa...
Back
Top Bottom