tufanyaje kama taifa ili ukuaji wa uchumi uendane na kupungua kwa umasikini?
Kuwekeza kwenye sekta zenye multiplying effect: Kilimo cha kisasa, viwanda vidogo na vya kati, na huduma za kijamii (elimu, afya) vina athari pana kwa ajira na kipato cha kaya.
Kukuza ajira shirikishi: Badala ya sekta...
its true,
Kwa sasa, takwimu zinaonyesha kuwa Afrika imekuwa na ukuaji wa uchumi wa wastani wa 5% kwa mwaka kati ya 1999–2014, lakini umasikini umepungua kwa kiwango kidogo tu — kutoka 57% hadi 38%. Hata leo, ukuaji wa GDP hauendani sawia na kupungua kwa umasikini, kwani ongezeko la 1% la GDP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.