Recent content by Dot

  1. D

    Msaada kuhusu mtoto huyu ni hatari mno Mbezi mwisho stand

    Hawezi akawa kichaa huyo, kuna mmoja alikuaga anapita madukani anaomba hela halafu mkononi kashika bonge ya jiwe ukikataa anatemea jiwe mate then anakutishia nalo mpaka Umpe hela, ila alikua anaenda maduka yanayouzwa na wanawake tuu, akikuta mwanaume haingii, sikumoja tukaweka wanaume...
Back
Top Bottom