Msiwapangie wastaafu matumizi wapangieni wabunge wanao staafu eti ntatumia vibaya wewe inakuhilusinakuhusu mini ...sheria iliyopita unalipwa yote na monthly pension unalipwa serikali ya awamu hii mini shidada ningeona wana busara wangeshusha mishahara na mafao ya wabunge maana mshahara Wa mvunge...
Serikali kukopa mifuko nakushindwa kurudisha pesa isilete liability kwa watumishi itafute pesa ilipe mishahara yenyewe mmegoma kupandisha licha ya kuahidi kila may mosi ...kwanza may mosi isiwepo tu maana hata ikiwepo no changes Sana'a tu
Wakwere wanacheza ngoma kila siku huulizi hela wanatoa wapi tehe tehe...kuna ardhi ya kichanga kwa mhogo na nanas we acha tu mite nimelima heka 3 muhogo sehemu wanapaita talawanda
Mi niwaambie kitu nina shamba chalinze heka tisa nimekuwa nikilima mahindi yanakubali kinyama ...mashamba yapo ndani 5 km from main road watu wanalima sana ila mwaka huu imetukatisha tamaha bei ya mahindi watu tumeacha kulima unalimaje wakati stock uliyonayo ndani hujui utaiuzaje
Zaidi ya hapo unakuta wakuu wa idara wengine hawana hata degree wanalamba super scale sijui Tamisemi ilifikiria nini kuwalipa jamaa hela nyingi hivyo...hivi mh Rais anajua zaidi ya mshahara wanalipwa house allowance 600000 kwa mwezi jamani nyuma gani ya bei hiyo kiuhalisia...? Wanalipwa 210000...
Guys niwaambie kitu kinachokatisha tamaa wakuu wa idara kutoka halmashauri wanalipwa 3.5 m yaani anabeba mshahara ya graduates 5 can you imagine alafu kazi wanafanya watu wengine yeye ni anaelekeza tu na kuwasilisha kikaoni this is quite unfair wange weka gap dogo siyo graduate akachukia 725000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.