Makampuni mengi yanaajiri vijana wa kudai madeni , anayedai sanaa ndo analipwa yaani wanatumia nguvu na ideas kama hizo bila kujua kama wanakosea , wao wanachojali ni walipwe ili na wao walipwe basi apo ni mtafutanoa kila kona!
Ninachojua kutoka kwa mafundisho ya kiislam, Adam na hawa walikuwa wanazaa pacha mke na mme , ila kuoana ikabidi , wabadilishane pacha yaani kaini aoe pacha wa khabili , alikaidi akasema atamwoa pacha wake mwenyewe kwan alisema ni msuri sanaa ! Hivyo kwa swali lako majibu ni kwamba walikuwa...
Utangulizi,
Uchumi ni neno lenye maana pana sanaa, ila kwa kifupu uchumi ni jinsi tunavyoweza kutumia rasilimali tulizo nazo kutimiza mahitaji yetu ya kila siku kama mtu mmoja, familia , ukoo, jamii mpaka taifa na kimataifa.
Uchumi endelevu ni jinsi ya kutumia rasilimali tulizonazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.