Recent content by DorothyMankaa

  1. DorothyMankaa

    Katibu Wizara ya Afya tuombe radhi wataalamu viungo bandia

    Ni muhimu Serikali yetu ikawa inatafuta ushauri kwa wataalam wake wa ndani. Na sio kupokea kila kitu kwa sababu tu ni msaada. Hii teknologia ya "kufyatua" miguu kwa one size fits all si sahihi. Kila mwanadamu ni unique na ana umbo na mwili tofauti. Mguu bandia hutengenezwa kwa kuangalia na...
  2. DorothyMankaa

    Sherehe za watu wenye ulemavu zilimpigaje chenga Magufuli?

    Ni maadhimisho. Hii ni siku ya watu wenye ulemavu na lengo kuu ni kuelimisha umma juu ya watu wenye ulemavu ikiwa ni kujua mafanikio na changamoto mbalimbali wanazokutana nazo. Bado siku hii inaadhimishwa kwa gharama kidogo mno ukilinganisha na hizo nyingine.
  3. DorothyMankaa

    Biashara ya masaji inalipa?

    Hii ni misconception. Kwa wale wanaojua professional massage ni kama tiba. Jaribu tu ku google "massage business USA".Wenzetu huko wana kada kabisa iliyosajiliwa "massage therapists/ massagists".
  4. DorothyMankaa

    Biashara ya masaji inalipa?

    Masaji ni nini? Ni nenolinalotumika kuelezea utalaam wa kunyumbua (kubonyeza, kusugua, kukanda) ngozina misuli ya mwili. Mtaalam wa masaji mara nyingi hutumia viganja vya mikono lakiniwanaweza kutumia sehemu nyingine za mwili kama vidole, viwiko hata miguu ilikuleta matokeo yanayohitajika. Pia...
Back
Top Bottom