Recent content by Doreen20

  1. Doreen20

    JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Nakuelewa sana na mimi ni mojawapo ila serikali kuja kulielewa hilo linachukua muda mrefu mwisho wa siku ukimaliza mkataba wako unarudi mtaani na kuanza kuhangaika tena.
  2. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hapa...

    So ata nikitype kwa computer ni sawa?
  3. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hapa...

    Naombeni kuuliza katika uandikaji barua kule ajira portal ni lazima uandike kwa mkono au unaweza ukatype kwa compyta?
  4. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa maswali ya interview katika kipengele cha office assistant.

    Naombeni msaada wenu
  5. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimekuchek inbox
  6. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwanzoni nianze na namba?
  7. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sawa
  8. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nikijisajili inanigomea kucreat passowrd nimetengeneza mara nying ila inanigomea
  9. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nan anaweza kucreat account ya taesa mimi kila nikijaribu inanigomea
  10. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nikijisajili inasumbua kwel
  11. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naombeni kueleweshwa kuhusiana na hii portal Ya TAESA ikoje ikoje yaani inatoa fursa gani?
  12. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naombeni kuuliza POSS 1/1 NI MSHAHARA WA SH NGP?
  13. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Embu fanya mambo mengine acha kuwaza hilo maisha lazima yaendelee bado ww ni kijana na kuna fursa nyingi nje so zitumie hizo fursa na wakati wa kupata ajira basi utapata.
  14. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inategemea na uhitaji wao
  15. Doreen20

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Fanya mambo mengine tuu
Back
Top Bottom