Recent content by Don zion

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nataka nijiendeleze kielimu, ipi njia nzuri kati ya kwenda Diploma na Advance?

    Asante sana kwa ushauri nitauzingatia
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa mnasomaje ili kufaulu Mitihani?

    Kwa wale ambao ni watumishi mnaweza kusoma na kufanya kazi kwa wakati mmoja?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nataka nijiendeleze kielimu, ipi njia nzuri kati ya kwenda Diploma na Advance?

    Wakuu wasalaam. Mimi ni mwalimu idara msingi mwaka wa 5 huu kazini. Kutokana na changamoto za kazi yetu hii nimewaza kujiendeleza kwani sihitaji kubaki hapa nilipo. Niliwaza kwenda ngazi ya Diploma au kwenda advance kwani ninazo alama za kwenda advance! Je, ipi ni njia nzuri zaidi?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Naombeni ushauri wa gari gani ya toyota used bongo naweza kuanzia nayo maisha (gari ya kwanza) maana uwezo wa kuagiza Japan sina Gari isiyozidi mil 8.
Back
Top Bottom