Recent content by dompazuri

  1. D

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Poleni na majukumu wadau, kwa wale waliokuwa wakisubiri selections za UDOM mzigo huu hapo chini. Kila la kheri
  2. D

    JamiiForums Tanzania Update: House girl anataka penzi liende hatua nyingine

    I surely don't smell any danger. Naamini there must be a way ya kumaintain hii relationship pasi na kuwa na serious consequences. Just trying to figure out, which way could it be?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Update: House girl anataka penzi liende hatua nyingine

    Habari zenu wanabodi; Huu ni muendelezo juu ya ule uhusiano wangu niliouanzisha na haouse girl wa hapa nyumbani kwangu. Nilishalete mrejesho wa namna tunavyoendesha mahusiano yetu na ni kwa kiasi gani kila mmoja wetu amekuwa akifurahia uhusiano huu. Kilichonirudisha tena hapa leo ni ombi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Update: Almost Miezi minne (4) ndani ya penzi la house girl

    Naona unaongea kinyume mkuu. Ndoa hivi sasa imekuwa tamu kupita maelezo. Kila tukiwa na mtoko na mama watoto, beki 3 anakuwa featured, basi mabo inazidi kuwa murua. Hapo awali kulikuwa na magomvi mengi mnoo, mara nimechelewa kurudi nyumbani, mara akute meseji za sijui nani yaani ilikuwa ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Update: Almost Miezi minne (4) ndani ya penzi la house girl

    Nashukuru kwa kunielewa mzazi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Update: Almost Miezi minne (4) ndani ya penzi la house girl

    Habari wanabodi, Ni miezi karibu minne tangia penzi langu na house girl wa nyumbani kwangu lilipochipua mithili ya uyoga kandokando mwa Oasis jangwani (Rejea post yangu hapo chini). Penzi langu na binti huyu wa kirangi limekuwa ni penzi motomoto, nashukuru Mungu binti huyu amekuwa ni muelewa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Itategemea mtazamo wako, it's all well with me.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Sawa hamna shida, so that you advise me on how to get away with it, right?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    If wishes were horses, beggars would ride
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Hewara kaka/dada, ila laiti ungejua situation ilivyo usingesema hivyo. Anyway, kuepusha shari, ngoja nifanye utaratibu wa kumuhamishia huyu binti wilaya ya jirani (Possibly wilaya ya Chemba), nimpangishie chumba, nimpe mtaji wa biashara aendelee na maisha yake. Maana naona watu wengi humu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Sawa kaka, ila kwa huyu binti jinsi alivyo, nakuhakikishia ni wanaume wachache sana wangeweza kuvumilia, kweli nakuambia bro. Alikuja nyumbani akiwa amechoka kiafya, lakini kaumbo kake na urembo wake ulionekana kwa mbali. Katika kipindi alichokaa, amebadilika kupita kiasi, amejifunza kuvaa vyema...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Inatia Moyo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Let them come...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Very unlikely....
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Hapana
Back
Top Bottom