Mbaazi haikuwahi kuuzwa 200 kwa kilo, kwani ulipotoka wito shule za bweni zikanunue hizo mbaazi ziwe mboga mbadala wa maharage, hizo mbaazi za 200 hazikupatikana!!
Wabunge waliounga juhudi wapo, unamlaumu Magufuli. Mbowe ameunga juhudi, unamlaumu nani? Jambo la kufahamu ni kuwa hakujuwepo vyama vya siasa tokea mwanzo. Kilichokuwa kikifanyika ni mchezo tu. Magufulihakuutaka huo mchezo wa kuwalipa akina Mbowe na akina Zitto na kuwapa viti kadhaa vya ubunge...
Fuatilia kwanza kwa nini Ben Saanane alitokewa Chadema akapelekwa katika ofisi binafsi ya Mbowe kabla hajapotea. Msilishwe matango pori ya kutunga!
Soka nae alifanya nini mpaka akapotea?
Zitto alinusurika vipi, lakini Chacha Wangwe akapotea? Wote waliopotea au kupata misukosuko Chadema...
Kwa hiyo hufahamu Lissu na Mbowe wamefarakana kwa jambo gani? Hata hujui Wangwe Chacha aliondokaje? Na hata hujui miaka yote hii Mbowe amekuwa upande gani na akifanya nini? Bado umelala wewe…amka angalau ujue hii leo Mbowe yuko wapi na anafanya nini. Msikie Lissu siku hizi, kati ya Magufuli na...
Wewe nani kuchagua ku deal na anayefichua maovu huku ukiamua kuachana na aliyetenda jinai? Tuhuma toka za chacha wangwe, kumchukua Ben saanane kumuweka katika ofisi yake binafsi alikopotelea unasema to hell with him? Sasa huyo ndio mtendakazi mwenyewe dhidi ya wakiokuwa wakipinga undumilakuwili...
Kwa nini Polepole ndio awe wa kufanya mambo yote peke yake. Sisi wengine tunafanya nini? Polepole kasema genge la utekaji na uuaji ambalo hata yeye mwenyewe lilitaka kumtaja, unataka aseme nini tena? Kwani mpaka dakika hii wewe hujui Mbowe yuko kundi gani kati ya CCM mtandao na ccm halisi?
Yaani ni nyumbu nyumbu kweli kwelikweli. Wana vinongwa visivyo akili na wanaamini hisia zao ndio ukweli. Mtu akiamua kufanya jambo la maana kwa taifa wanampa jingine afanye. Wanajiita wana akili, wao wanafanya nini? Polepole kasema yake, kwa nini wao wasiibuke wakasema yao? Mbons kuna waliowahi...
Kura zinapigwa manually, lakini matokeo yanatolewa kwenye mfumo na INEC kwani wewe hili hulijui? Hukumbuki wale wataalam wa mifumo wa Lowasa wengine kutoka nchi jirani walivyokuwa ambushed, kukamatwa na kuwekwa kizuizini? Au hufahamu kuwa January alikuwa mratibu wa huo mfumo katika jumba mahsusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.