Recent content by Dominic Msemakweli

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka,nini kilifichwa bungeni na waziri wa utumishi wa umma

    Huyu anayejiita Lizaboni, anaishi wapi mbona ufahamu wàko kama mtumwa Mizimu ubongo wako umejaa upofu unamtumikia nyoka atakugonga kisigino tu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka,nini kilifichwa bungeni na waziri wa utumishi wa umma

    Huwezi kuelewa mtoto wewe akilia zako za pipi kujua kusoma na kuandika sio kuelewa.Mtumwa mbumbumbu haitaji mshahara kama wewe na wenzako munaoshinda kutetea masilahi ya ccm bila kuombwa.Watu wazima tunatoa taaluma niulize swali nikuelimisheni vijana wa ccm vipofu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka,nini kilifichwa bungeni na waziri wa utumishi wa umma

    Nilichoandika ndo kilivyo,kwa wenye ubongo kaka pipi hawawezi kuelewa.Narudia ukiwa kanisani omba vya kanisani,ukiwa msikitini omba vya msikitini.Serikali ya ccm ya mwalimu Nyerere na ya sasa vinafanana majina na sura za baadhi ya wanachama,mimi kama mwanahakati naweza kusema ccc sawa na mkristo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka,nini kilifichwa bungeni na waziri wa utumishi wa umma

    Hongera kwa kujua unachohitaji.Lakini ndugu zangu watanzania tuelewe moja la muhimu Hauwezi kwendakudai biblia mskititini au korani kanisani,Pili hauwezi kudai furaha,amani,upendo kwa shetanikwasababu siyo matunda ya kazi zake.tatu hauwezi kudai machafuko,ufisadi,wizikwa Mungu kwa sababu siyo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

    Danganya wajinga wenzio sote tunaona tumekuwa kwenye system mpaka sasa wewe endelea kutumikia shetani huku ndugu zako wanaangamia.Alafu unaambulia kijisenti.Umasikini wako ni ujinga wako.Huna akili wewe
  6. D

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    Tuache ujinga tumezidi jamaa kasema ukweli mtupu.Tanzania nchi tamu kuishi lakini jini hili linaitwa ccm linaifanya nchi kuwa ovyo kila siku.Wanaambiwa mmekanyaga kinyesi wanapiga kelele kwamba wanasemwa,wanadai hawajajinyea ni uchafu kidogo tu lakini wanauchafu huo toka baba yetu alipowaachia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali za Ulaya na Marekani hawatoi mialiko kwa Dr Slaa?

    kiongozi anayeshinda na bakuri la kuomba misaada wakati rasilimali zimejaa nchini kwake,kuuza madini na utajiri wa nchi atapendwa sana na viongozi wa nje.hanatofauli na malaya anayejiuza utu wake,atapendwa na malaya wenzake.Dr.Slaa siyo wa namna hivyo wala chadema
Back
Top Bottom