1. Kulipwa Pensheni Nzima (Full Pension) mara moja, bila malipo ya kila mwezi baada ya hapo; au
2. Kulipwa Kiinua Mgongo pamoja na Pensheni ya Kila Mwezi hadi mwisho wa maisha ya mstaafu.
Baada ya mwanachama kustaafu rasmi utumishi wake, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii husika unatakiwa kuchakata na kulipa mafao ya mstaafu ndani ya siku sitini (60) tangu kukamilika kwa nyaraka zote muhimu za madai ya mafao.
Kisheria, masharti haya yameainishwa wazi katika sheria mbalimbali za hifadhi...
Sababu kubwa inayofanya Unemployment benefits kulipwa hivyo, ni kulinda mwanachama asipoteze sifa ya kuwa pensioner.... Kuwa na wazee wengi tegemezi ni mzigo katika taifa lolote lile duniani.
Ndani ya miaka kumi kabla ya kustaafu tunatafuta miaka mitatu (miezi 36) iliyo kuwa na mishahara mikubwa kuzidi mingine hiyo tuna ijumulisha alafu tunagawa kwa 3.. ndio tunapata jibu la hapo...
Kuhusu mfano, labda nije na uzi mwingine.
Kuhusu fao la kujitoa kwanini liliondolewa nilisha elezea muda...
FORMULA YA KIKOKOTOO KIPYA KWENYE KIINUA MGONGO (KWA WALIO KUWA WANACHAMA WA LAPF NA PSPF)
1/580 x Miezi ya uchangiaji katika mfuko x Wastani wa mishahara bora ya miaka mitatu (3)
ndani ya miaka 10 kabla ya kustaafu x 0.40 x...
-Utaratibu/Sheria zilizopo za mtu aliye poteza ajira na amechangia kwenye mfuko miezi 180+ na miaka yake ni chini ya 55 ni atalipwa kiinua mgongo sasa na pensheni ya Kila mwezi ataanza kulipwa atakapo fikia miaka 55..
FORMULA YA KIKOKOTOO KIPYA KWENYE KIINUA MGONGO (KWA WALIO KUWA WANACHAMA WA...
Mimi sipo kwenye mfuko wowote wala sio mwajiriwa wa serikali, nimeeleza kama Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, kama tunaona sheria zilizopo sasa ni mbaya tuwaambie wabunge wetu waziwasilishe bungeni
Kwa upande wa wabunge nimesha elezea kuwa wao sio wanachama wa PSSSF/NSSF na hawalipwi na hiyo mifuko
Mimi sipo kwenye mfuko wowote wala sio mwajiriwa wa serikali, nimeeleza kama Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, kama tunaona sheria zilizopo sasa ni mbaya tuwaambie wabunge wetu waziwasilishe bungeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.