Recent content by Domalizer

  1. D

    Naenda kusoma BAF Mzumbe na sijawahi kusoma Account. Naombeni ushauri

    Wakubwa zangu ambao mmeshatangulia naombeni ushaur naenda kusoma BAF mzumbe lakin me diploma nimesoma insurance and risk management. Sijawahi kusoma account pia naenda kumeet na challenge ya watu waliosoma ECA na comb za biashara advance. Nahitaji ushauri juu ya hili.
  2. D

    Kuna utofauti gani kati ya BAC na BAF?

    Kuna utofauti gani kati ya kozi ya BAC na BAF na hipi ni better zaidi?
Back
Top Bottom