Recent content by dolevaby

  1. dolevaby

    JamiiForums Tanzania Nimewachukia Generation Z kwasababu hawatumii akili

    ogopa mtu asie na cha kupoteza
  2. dolevaby

    JamiiForums Tanzania Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Rais yupi unaemzungumzia wakuchukua hatua
  3. dolevaby

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA kufanyika Oktoba 2024

    Mbona hujawahili kulalamikia ccm inayokutia umaskini miaka na miaka
  4. dolevaby

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wana akili wangejikita kwenye Katiba

    Mwongozo upi aliotoa Rais wako
  5. dolevaby

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wana akili wangejikita kwenye Katiba

    Masikio yako unayalazimisha yasikie uanchotaka tu ndio maana hupati Hoja za Chadema
  6. dolevaby

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wana akili wangejikita kwenye Katiba

    Wakati wao wanafanya maandamano ww umejificha mpaka jina humu unatumia Bandia ww mchango wako ni upi wa kuipata Katiba mpya.
  7. dolevaby

    JamiiForums Tanzania Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Kumbuka hao wapo sababu ya ccm. so bila kutoa ccm na Kiongozi mkuu ni wahuko huamini kama unapaka rangi upepo?
  8. dolevaby

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

    Unazungumzia Bakwata ipi? kwenye makasheshe ya Nchi hii tangu mamaDuli awepo umewahi kusikia cha maana kutoka kwao?
  9. dolevaby

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    .....zamani walitulia mlidhani hawana akili sasa hivi mnatoa kila aina y milio
  10. dolevaby

    JamiiForums Tanzania Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

    Teuzi teuz teuzi manake bongo hutakiwi kutumia ubongo ili upate nafasi
Back
Top Bottom