Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado ameendelea kusisitiza kuwa msimamo wa Chama hicho ni kuona Uwajibikaji kwa matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025.
Akizungumza Ado kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kata ya Bugogwa, Mtaa wa Igomba...
Eric Shigongo, Mbunge wa Jimbo la Buchosa akizungumzia kuhusu masuala ya utalii na utajiri wa Tanzania, amezungumzia kuhusu utajiri mkubwa wa rasilimali zilizopo nchini Tanzania.
Hotuba hiyo ameitoa wakati akiwa katika Kongamano la Kitaifa la Elimu Jumuishi za Kifedha (NFIS) jijini Dar es...
MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii.
Akizungumza muda...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amekitaka Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) kutokuwa chama cha harakati, bali kutumia nafasi yake katika kutoa ushauri, kupatanisha jamii, kulea watoto na vijana, pamoja na...
Jibu ni HAPANA.
Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.
ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe.
Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
CAIRO - EGYPT: Amb. Ahmed Haggag, Advisor to the Union of African Journalists, has said that a journalist's pen and voice are the greatest weapons to change policies and defend the rights of the vulnerable in Africa.
Speaking to journalists in Cairo, Amb. Haggag said the four best qualities for...
Hatimaye code zimeanza kufunguka, video hii ya miezi mitano iliyopita, akiwa Bungeni, Dkt. Godwin Mollel aliyasema haya kuhusu watu aliodai wanachokonoa Ikilu, kwamba yeyote anayefanya hivyo ni adui yao.
Video hii imetrend ikiwa ni muda mfupi baada ya Makamu wa Rais, Dkt Emmanuel Nchimbi...
Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi stahiki zao za likizo kwa kisingizio kwamba watumishi wanaoenda likizo ni wengi, si ya kweli na...
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.